Alhamisi, 9 Machi 2017

MATUKIO KATIKA PICHA ;MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MANISPAA YA IRINGA

Mgeni Rasmi Katibu tawala wa wilaya ya Iringa, Joseph Chintika (mwenye suti ya bluu) akipokea maandamano ya wanawake kutoka manispaa ya Iringa walipokuwa wakiwasili katika viwanja vya Mwembetogwa jana katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, manispaa ya Iringa, mkoani Iringa. Kulia kwake ni Meya wa Manispaa ya Iringa Alex Kimbe, kaimu mkurengenzi wa manispaa ya Iringa Charles Lawiso na kushoto ni Naibu meya Joseph Lyata.
Maandamano yakielekea katika viwanja vya mwembetogwa Manispaa ya Iringa
Maandamano yakielekea katika viwanja vya mwembetogwaManispaa ya Iringa
Maandamano yakielekea katika viwanja vya mwembetogwa Manispaa ya Iringa
Maandamano yakielekea katika viwanja vya mwembetogwa Manispaa ya Iringa

Maonyesho ya mikoba  iliyotengezwa na wanawake wajasiliamali Manispaa ya Iringa
Maonyesho ya Vikapu vilvytengezwa na wanawake wajasiliamali Manispaa ya Iringa



0 maoni:

Chapisha Maoni