Jumatatu, 20 Machi 2017

KAMISHANA MPYA WA MAGEREZA NCHI AJITAMBULISHA KWA RAIS DK.SHEIN

Posted by Esta Malibiche on MARCH 20,2017 IN NEWS

SCO
Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao.
SCO 1
Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akizungumza na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala alipofika Ikulu Mjini Unguja kwa ajili  ya kujitambulisha leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao
[Picha na Ikulu.] 20/03/2017.

0 maoni:

Chapisha Maoni