Jumatano, 15 Machi 2017

COSATO CHUMI;NITAHAKIKISHA SHULE ZOTE ZILIZOPO KATIKA JIMBO LANGU ZINAKUWA KATIKA UBORA UNAOTAKIWA

Posted by Esta Malibiche on MARCH 15,2017 IN NEWS

SHU
 MBUNGE wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi akikabidhi madawti kwa viongozi wa kata ya sao hill kwa ajili ya matumizi ya shule
kongozi wa kata ya sao hil akimpongeza MBUNGE wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi kwa jitihada anazozifanya kuleta maendeleo katika jimbo la mafinga mjini
 
 Chumi alikabidhi mabati 80 kwa ajili ya kupauwa majengo hayo,mifungo
10 ya saruji,madawati 150 kwa shule za msingi za Ifingo na Kinyanambo.

0 maoni:

Chapisha Maoni