Posted by Esta Malibiche on MARCH 20,2017 IN NEWS
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba (kulia) akimkaribisha ofisini kwake Mwakilishi Mkazi wa
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) nchini, Michael Dunford kwa
ajili ya kufanya mazungumzo naye kuhusu masuala mbalimbali ya
ushirikiano kati ya WFP na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika
ofisi ya Waziri huyo, jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Mpango wa Chakula Duniani (WFP) nchini, Michael Dunford, wakati kiongozi
huyo alipomtembelea Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo
la kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Shirika lake na
Tanzania. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi nchini, Harrison
Mseke.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba (kushoto) akimsikiliza Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Mpango wa Chakula Duniani (WFP) nchini, Michael Dunford, wakati kiongozi
huyo alipomtembelea Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo
la kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya WFP na Tanzania.
Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi nchini, Harrison Mseke. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
0 maoni:
Chapisha Maoni