Jumatatu, 20 Machi 2017

KADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM FESTO SANGA AJITOSA CHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE,BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

 Posted by Esta Malibiche on MARCH 20,2017 IN SIASA.

Kada wa chama cha Mapinduzi ccm Festo Sanga hii leo 20,3,2017 majira ya saa nne asubuhi amechukua  fomu ya kuomba ridhaa kwa chama chake cha  Mapinduzi ccm aweze kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki.

Kada wa chama cha Mapinduzi ccm Festo Sanga  akisaini fomu tayari kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki.

0 maoni:

Chapisha Maoni