Jumatatu, 20 Machi 2017

KATIBU WA CCM WILAYA YA MUFINDI JIMSON mhagama ACHUKUA FOMU YA UBUNGE,BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

Posted by Esta Malibiche on MARCH 20.2017 IN SIASA

Katibu wa chama cha Mapinduzi ccm wilaya ya Mufindi Jimson Mhagama,amejitosa kuchukua fomu na kuwania ubunge wa bunge Afrika Mashariki.

Jimson mhagama kulia akimwelekeza jambo aliyekuwa katibu mkuu wa CCM Yusuph Makamba, Mhagama ni mmoja kati ya wana CCM waliochukua fomu kuwania ubunge Afrika mashariki 

0 maoni:

Chapisha Maoni