Jumatano, 15 Machi 2017

WANAWAKE HALMASHAURI YA MJI WA MAFINGA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA

Posted by Esta Malibiche on MARCH 15,2017 IN NEWS
Kaimu katibu tawala wa Halmashauri ya Mufindi Joseph Mchina
Akizungumza kwa niaba ya mkuu wa wilaya ya Mufindi katika uzinduzi wa jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi, lililofanyika mapema leo hii katika Halmashauri ya Mji wa Mafinga,kaimu katibu tawala wa Halmashauri ya Mufindi Joseph  Mchina,alisema kuwa jukwaa hilo litaweza kuwasaidia wanawake wilayani humo ili waweze kuondokana hali duni kimaisha.

Mchina alisema Katika kusaidia kufikia malengo ya maendeleo endelevu, inaasisitiza uwezeshaji  wa  wanawake  kiuchumi,hivyo wanawake wanatakiwa kujishughulisha  katika shughuli mbalimbali ili waweze kujiingizia kipato na hatimae kujikwamua kiuchumi.
   
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga Charles Makoga Akitoa hotuba yake katika uzinduzi huo  alisema kuwa jukwaa hilo litasaidia kuongeza uelewa wa wanawake ili waweze  kujitegemea kiuchumi.

Akitoa hotuba yake alisema kuwa  Lengo  la  jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi  ni  kukutana na wanawake na  kujadiliana  kuchangamkia fursa mbalimbali , kuangalia  changamoto zinazowakabili na  jinsi  ya kushiriki kikamilifu katika biashara na shughuli zingine za kiuchumi ili kuwainua

   ‘’’Naomba kupitia Jukwaa hili la Halmashauri ya Mji wa Mafinga kumpongeza sana Mheshimiwa makamu wa Rais kwa kuteuliwa kwake kuwa mmoja wa Wajumbe wa Timu hii muhimu ya Umoja wa Mataifa ya kuongeza ushiriki wa Wanawake katika shughuli za kiuchumi Duniani. Ili kujenga uelewa wa namna ya kuanzisha majukwaa katika ngazi ya Halmashauri nimeona ni vyema kuzindua jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi ngazi ya Mkoa ili kila Mkurugenzi akaanzishe chombo hiki katika Halmashauri yake kwa kufuata kanuni zilizowekwa’’’alisema Makoga''

 Aidha aliongeza kuwa Halmashauri ya Mji wa Mafinga kwa kupitia jukwaa la uwezeshaji wanawawke kiuchumi, atahakikisha wanawake wanaondokana na dhana ya kuwa tegemezi,kwa kuhamakikisha wanajishughulisha na biashara mbalimbali ili kuondokana na umasikini.

 Akitoa Elimu juu ya Ulipaji kodi, Afisa Elimu na Huduma kwa walipa kodi kutoka mamlaka ya mapato Tanzania [TRA] Noveatus Albet alisema kodi ni tozo ya lazima ambayo mtu anawajibika  kulipa serikalini kwa mujibu wa sharia ili kuiwezesha serikali kufanya shughuli mbalimbali za maendeleo ya kijamii.
 
Albet alisema mfanyabiashara pamoja na kusajiliwa na TRA ana wajibu wa kutunza kumbukumbu za biashara yake,pia iwapo mfanyabiashara ana mauzo yanayoanzia shilingi million 14 na kuendelea kwa mwaka atatakiwa kununua na kutumia  mashine za kielektroniki kwa ajili ya kutolea risiti [EFD]
 
 Kaimu katibu tawala wa Halmashauri ya Mufindi,Joseph Mchina akikagua bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na wanawake katika maonesho ya uzinduzi wa jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi.

Kaimu katibu tawala wa Halmashauri ya Mufindi,Joseph Mchina akikagua bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na wanawake katika maonesho ya uzinduzi wa jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi .

Kaimu katibu tawala wa Halmashauri ya Mufindi,Joseph Mchina akikagua bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na wanawake katika maonesho ya uzinduzi wa jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi
Kaimu katibu tawala wa Halmashauri ya Mufindi,Joseph Mchina akikagua bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na wanawake katika maonesho ya uzinduzi wa jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi.

 Bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na wanawake wajasiliamali kutoka Halmashauri ya Mji wa wa Mafinga
 Bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na wanawake wajasiliamali kutoka Halmashauri ya Mji wa wa Mafinga.

 Bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na Wanawake wajasiliamali kutoka Halmashauri ya Mji wa wa Mafinga.

Bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na wanawake wajasiliamali kutoka Halmashauri ya Mji wa wa Mafinga.
 Bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na wanawake wajasiliamali kutoka Halmashauri ya Mji wa wa Mafinga.
 Bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na wanawake wajasiliamali kutoka Halmashauri ya Mji wa wa Mafinga.
 Bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na wanawake wajasiliamali kutoka Halmashauri ya Mji wa wa Mafinga.
 Bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na wanawake wajasiliamali kutoka Halmashauri ya Mji wa wa Mafinga.
 Bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa nawanawake wajasiliamali kutoka Halmashauri ya Mji wa wa Mafinga
 Wanawake wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga wakishiriki uzinduzi wa jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi .
 Wanawake wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga wakishiriki uzinduzi wa jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi.

Picha na KALI YA HABARI BLOG

0 maoni:

Chapisha Maoni