Jumanne, 28 Novemba 2017

TIMU YA WAANDISHI WA HABARI WA MKOANI IRINGA (IMFC) YAINGIA KAMBINI


Posted by ESta Malibiche on NOV,28,2017 IN MICHEZO

 

TIMU ya waandishi wa habari wa mkoani Iringa  imeingia kambini kujiwinda na mchezo wa fainal kati ya bingwa wa mashindano ya Spanest cup,mchezo huo utacheza katika uwanja wa Hifadhi ya Ruaha.
 
Wakizungumza na blog hii viongozi wa timu hiyo  walisema wapo tayari kukabiliana na timu ya Itunundu maarufu kama sukari ya warembo.

Timu hii ya waandishi haijawahi kufungwa katika fainali yoyote ile hivyo Itunundu wajipange

0 maoni:

Chapisha Maoni