Jumatano, 15 Novemba 2017

MOUNT MERU RICKERNEST BAND YAWAKOSHA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA NA VITONGOJI VYAKE


Posted by Esta Malibiche on Nov 15,2017 IN BURUDANI


 mashabiki wa bendi ya Mountimeru Ricker nest wakiwa wanapata burudani

 Rappa wa bendi ya Mountimeru ricker nest njegere akiwa anafanya yake jukwaani

 Mara moja moja kujitokeza kushuhudia bendi sio mbaya apa mmiliki walibeneke la kaskazini blog Woinde shizza katik kati nikiwa na mashabiki zangu tukiendelea kuburudika na bendi hii

 yalikuwa ni mambo ya sebene tu ,ukifika jijini Arusha usiulize pa kwenda ni Triple a klabu tu kwa burudani za aina yote kuanzia vinjwaji ,disco la nguvu pamoja na live band kutoka bendi ya Mounti meru Ricker nest Music (picha na Woinde Shizza,Arusha )


 katika bendi hiii pia kuna wadada wa kike nikimaanisha wanenguaji hapa wakifanya yao



0 maoni:

Chapisha Maoni