Jumapili, 5 Novemba 2017

DIWANI WA CHADEMA KATA YA KIHESA MANISPAA YA IRINGA ATIMKIA CCM LEO

Posted by Esta Malibiche on Nov.5,2017 IN SIASA

Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi Taifa,Humprey Polepole akimkaribisha Diwani wa kata ya Kihesa Manispaa ya Iringa,kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Edgar mara baada ya kujiunga na CCM katika uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi mdogo kata ya Kitwilu Manispaa ya Iringa.








0 maoni:

Chapisha Maoni