Jumapili, 26 Novemba 2017

CHADEMA YAANGUKIA PUA KITWIRU NA KIMALA IRINGA

Posted by Esta Malibiche on NOV 26,2017 IN SIASA


CHAMA cha Mapinduzi (CCM)  Mkoani 
Iringa,kimeibuka kidedea uchaguzi  mdogo wa udiwani kata ya Kitwiru iliyopo Manispaa ya Iringa na kata ya Kimala iliyopo Wilayani Kilolo mkoani Iringa
Uchaguzi huo umefanyika mapema leo hii  hapa Nchini ambapo kata   .  kata zingine 41 zimefanya uchaguzikatika maeneo mbalimbali nchini.

Wakati shughuli ya kuhesabu kura ikiendelea taarifa za awali zinaonesha CCM ilikuwa ikiongoza kwa tofauti ya kura nyingi katika vituo vingi vya kata hizo.












aaa

0 maoni:

Chapisha Maoni