Jumanne, 28 Novemba 2017

NIKOLINA LULANDALA AIBUKA KIDEDEA UENYEKITI UWT MKOA WA IRINGA.

Posted by Esta Malibiche on NOV28,2017 IN SIASA
Umoja wa wananwake wa chama cha Mapinduzi ccm Mkoa wa Iriga,umefanya uchaguzi leo hii ngazi ya Mkoa ,ambapo Likonina Lulandala ameibuka kidedea kwa kupata kura 137 ,ambapo Mgombea Mwenza Auguster  amepata kura 128.Jumla ya kura zilizopigwa ni 265.
Akiwashukuru  wajumbe wanawake wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa kwa kumpa kura za ndiyo na kushinda kwa kishindo katika uchauguzi uliofanyika leo hii mkoani Iringa,aliwataka kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha wanafikia malengo ndani ya umoja huo.







































 




 




























0 maoni:

Chapisha Maoni