Jumatano, 29 Novemba 2017

MKOA WA IRINGA WAANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA SERIKALI

Posted by Esta Malibiche  on NOV30,2017 IN NEWS Na Esta Malibiche Mufindi Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo na wawekezaji wanatarajia kuanza kutekeleza sera ya uchumi wa viwanda kwa kuanzisha viwanda mbalimbali ndani ya Mkoa wa Iringa,hivyo kutekeleza agizo la serikali. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza  wakati wa ufunguzi wa sehemu ya upanuzi wa kiwanda cha Chai cha Unilever kilichopo...