Posted by Esta Malibiche on FEB 13,2017
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Profesa Makame Mbarawa akizungumza na Gavana wa Lubumbashi kutoka
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jean Claude Kazembe kuhusu mipango
endelevu ya matumizi mazuri ya Bandari ya Dar es Salaam ofisini kwake
jijini Dar es salaam.
Ujumbe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Congo ukiwa katika mazungumzo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa, Makame Mbarawa na Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya
Bandari Tanzania (TPA), Eng, Deusdedit Kakoko leo, jijini Dar es salaam.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
0 maoni:
Chapisha Maoni