Jumapili, 26 Februari 2017

MATUKIO KATIKA PICHA ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA KUPEWA UPADRE SHEMASI RAYMOND SANGU KATIKA PAROKIA YA NJIRO JIMBO LA ARUSHA

Posted by Esta Malibiche on FEB 27,2017 IN NEWS

Mhashamu baba askofu mkuu wa jimbo kuu katoliki la Arusha Josephat Lebulu akitoa daraja takatifu la upadre  kwa  Shemasi Raymond Sangu,iliyofanyika  Parokia ya Njiro, jimbo katoliki la Arusha

 Shemasi Raymond Sangu akiwa amelala kifudifudi

   Mhasham baba askofu mkuu wa jimbo kuu katoliki la Arusha Josephat Lebulu akitoa homilia yake [maubili]katika adhimisho la misa takatifu ya   upadre  wa  Shemasi Raymond Sangu,iliyofanyika  Parokia ya Njiro, jimbo katoliki la Arusha.
Ibada ya misa takatifu ikiendelea
  Waumini wakishiriki ibada ya misa takatifu ya upadre ya shemasi Raymond Sangu,iliyofanyika  Parokia ya Njiro, jimbo katoliki la Arusha.

 Watoto wa utoto mtakatifi[kipapa] wakishiriki ibada ya misa takatifu ya upadre ya shemasi Raymond Sangu,iliyofanyika  Parokia ya Njiro, jimbo katoliki la Arusha

0 maoni:

Chapisha Maoni