Alhamisi, 16 Februari 2017

MWIGULU NCHEMBA;USHIRIKIANO WA MAJESHI YETU YOTE KATIKA UTENDAJI KAZI NI WA HALI YA JUU NA WAKURIDHISHA

Posted by Esta Malibiche FEB 16,2017 IN NEWS





WAZIRI wa mambo ya ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba akizungumza na  vyombo vya ulinzi na usalam Mkoa Njombe katika ziara yake aliyoifanya  jana.
''Ushirikiano wa majeshi yetu yote katika utendaji kazi niwahali ya juu na kuridhisha.Wananchi kazi yetu ni kutoa ushirikiano kwa askari wetu kuhakikisha vitendo vyote viovu vinatokomezwa.’’alisema Mwigulu


AZIRI wa mambo ya ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba akizungumza na  vyombo vya uylinzi na usalam Mkoa Njombe katika ziara yake aliyoifanya  jana. ‘’Ubakaji,dawa za kulevya,uhalifu wa kutumia silaha,vitendo vya kigaidi au viashiria vyake,uvunjifu wa amani ni moja ya makosa ambayo kama Taifa tuendelee kuungana na kushirikana kuvitokomeza kwa nguvu zote.
 #Amani yangu
#Usalama wangu
#Nchi yangu

 PICHA NA FESTO SANGA
WAZIRI wa mambo ya ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja  na  vyombo vya ulinzi na usalam Mkoa Njombe katika ziara yake aliyoifanya  jana

0 maoni:

Chapisha Maoni