Posted by Esta Malibiche on FEB 6,2017 IN NEWS
Afisa Programu na Uchambuzi wa TGNP, Deogratius Temba (kulia)
akiwasilisha mada katika semina kwa baadhi ya madiwani, watendaji na
wenyeviti wa Serikali za mitaa kutoka Wilaya tatu za Mkoa wa Dar es
Salaam, yaani Temeke, Ilala na Kinondoni. Semina hiyo liyofanyika Mabibo
Jijini Dar es Salaam iliandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)
Afisa Programu na Uchambuzi wa TGNP, Deogratius Temba (kulia)
akifafanua jambo katika semina kwa baadhi ya madiwani, watendaji na
wenyeviti wa Serikali za mitaa kutoka Wilaya tatu za Mkoa wa Dar es
Salaam, yaani Temeke, Ilala na Kinondoni. Semina hiyo liyofanyika Mabibo
Jijini Dar es Salaam iliandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP)
Baadhi ya washiriki katika semina kwa baadhi ya madiwani, watendaji na
wenyeviti wa Serikali za mitaa kutoka Wilaya tatu za Mkoa wa Dar es
Salaam, yaani Temeke, Ilala na Kinondoni wakichangia mada anuai katika
Semina hiyo
Sehemu ya washiriki wa semina kwa baadhi ya madiwani, watendaji na
wenyeviti wa Serikali za mitaa kutoka Wilaya tatu za Mkoa wa Dar es
Salaam, yaani Temeke, Ilala na Kinondoni wakifuatilia mada anuai. Semina
hiyo liyofanyika Mabibo Jijini Dar es Salaam iliandaliwa na Mtandao wa
Jinsia Tanzania (TGNP).
Baadhi ya washiriki katika semina kwa baadhi ya madiwani, watendaji na
wenyeviti wa Serikali za mitaa kutoka Wilaya tatu za Mkoa wa Dar es
Salaam, yaani Temeke, Ilala na Kinondoni wakiwasilisha kazi za vikundi
baada ya majadiliano.
Baadhi ya washiriki katika semina kwa baadhi ya madiwani, watendaji na
wenyeviti wa Serikali za mitaa kutoka Wilaya tatu za Mkoa wa Dar es
Salaam, yaani Temeke, Ilala na Kinondoni wakichangia mada anuai katika
Semina hiyo.

BAADHI
ya madiwani, watendaji na wenyeviti wa Serikali za mitaa kutoka Wilaya
Tatu za Mkoa wa Dar es Salaam yaani Temeke, Ilala na Kinondoni
wameviomba vyama vya siasa kutoa fursa za uongozi kwa wanawake ili
waongezeke katika nafasi za uongozi ngazi mbalimbali.
Ombi
hilo limetolewa na viongozi hao katika maoni yao walipokuwa katika
semina kuangalia usawa wa kijinsia katika nafasi mbalimbali za uongozi
iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).
Baadhi
ya viongozi hao na watendaji walisema kumekuwa na changamoto nyingi
ndani ya vyama vya siasa ambazo zinaendelea kuwa vikwazo kwa wanawake
kushiriki katika nafasi za uongoni katika vyama anuai, hivyo kama
zikiangaliwa zinaweza ongeza hamasa kwa wanawake kupata nafasi za
uongozi.
Semina kwa baadhi ya madiwani, watendaji na wenyeviti wa Serikali za
mitaa kutoka Wilaya tatu za Mkoa wa Dar es Salaam, yaani Temeke, Ilala
na Kinondoni ikiendelea.[/caption]
[caption id="attachment_77379" align="alignnone" width="800"]
Baadhi ya washiriki katika semina kwa baadhi ya madiwani, watendaji na
wenyeviti wa Serikali za mitaa kutoka Wilaya tatu za Mkoa wa Dar es
Salaam, yaani Temeke, Ilala na Kinondoni wakiwasilisha kazi za vikundi
baada ya majadiliano.
Hata
hivyo wamewataka wanawake kuendelea kujitokeza, kujiunga na vyama
mbalimbali vya siasa pia kushiriki kugombea nafasi ili waweze kuonekana
na kukwaa nafasi hizo. "Mbali na Vyama vya siasa kutakiwa kuregeza
masharti na kutoa fursa kwa kundi la wanawake, wao pia wanatakiwa
kujitokeza kushiriki katika siasa...na hata kugombea nafasi mbalimbali
ili waonekane," alisema mmoja wa washiriki wa semina hiyo.
Kwa
pamoja viongozi hao walikubaliana kuendelea kuwaunga mkono kundi hilo
katika ushiriki wa siasa ili kujenga usawa wa kijinsia katika nafasi za
maamuzi kuanzia ngazi za chini na kuendelea.
Kwa upande wake Afisa Programu na Uchambuzi wa TGNP, Deogratius Temba
akiwasilisha mada katika semina hiyo alisema wanawake ni wadau muhimu
katika shughuli zote za kisiasa na maendeleo ya jamii hivyo kuna kila
sababu ya kupewa nafasi ili waingie katika vyombo vya maamuzi.
Alisema
yapo matamko mbalimbali ya juu ya umuhimu wa kundi hilo kushiriki
katika uchaguzi, japokuwa utekelezaji wake kivitendo umekuwa na
changamoto kadhaa.
Aidha alitolea mfano matamko hayo ni pamoja na Tamko la Kimataifa Kuhusu
Haki za Binadamu (U 1948), Mkataba wa Kimataifa wa Kutokomeza aina zote
za ubaguzi dhidi ya wanawake (CEDAW: 1979) na mpango kazi wa Beijing
(1995).
0 maoni:
Chapisha Maoni