Posted by Esta Malibiche onFEB 10,2017 IN BURUDANI
Mgeni
rasmi Mwenyekiti wa Baraza la Michezo nchini (BMT) Bw. Dionis Malinzi
(katikati) akiwa ameambatana na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard
Chartered, Bw. Sanjay Rughani (kulia) pamoja na Mkuu wa Mahusiano wa
Benki ya Standard Chartered, Juanita Mramba wakiwasili kwenye sherehe za
uzinduzi wa awamu ya pili ya mashindano ya Kombe la Standard Chartered
2017, barabara ya kuelekea Anfield uliofanyika katika viwanja vya Jakaya
Mrisho Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Mahusiano wa Benki ya Standard Chartered, Juanita Mramba
akizungumzia tukio adhimu la Benki ya Standard Chartered, Tanzania
Limited kutimiza miaka 100 tangu ilipofungua milango yake nchini
Tanzania kabla ya kumkaribisha Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Sanjay
Rughani kutoa risala katika sherehe za uzinduzi wa awamu ya pili ya
mashindano ya Kombe la Standard Chartered 2017, barabara ya kuelekea
Anfield uliofanyika katika viwanja vya Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park
jijini Dar es Salaam.
Mtendaji
Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Sanjay Rughani akizungumza
katika mkutano na waandishi wa habari wakati wa sherehe za uzinduzi wa
awamu ya pili ya mashindano ya Kombe la Standard Chartered 2017,
barabara ya kuelekea Anfield uliofanyika katika viwanja vya Jakaya
Mrisho Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa iadara ya Fedha wa Benki ya Standard Chartered, Abdulrahman Said (wa
pili kushoto) akizungumzia katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu
ujio wa mchezaji aliyewika wa timu ya Liverpool, John Barnes ambapo
wateja wa Benki hiyo watapata fursa ya kukutana na mchezaji huyo.
Mgeni
rasmi Mwenyekiti wa Baraza la Michezo nchini (BMT) Bw. Dionis Malinzi
(wa pili kulia) akitoa baraka zake kwenye sherehe za uzinduzi wa awamu
ya pili ya mashindano ya Kombe la Standard Chartered 2017, barabara ya
kuelekea Anfield uliofanyika katika viwanja vya Jakaya Mrisho Kikwete
Youth Park jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la
Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesiga Celestine.
Katibu
Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesiga Celestine
(kulia) akitoa salamu za TFF kwenye sherehe za uzinduzi wa awamu ya pili
ya mashindano ya Kombe la Standard Chartered 2017, barabara ya kuelekea
Anfield uliofanyika katika viwanja vya Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park
jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesiga Celestine
(kulia) akimkabidhi bendera ya TFF Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard
Chartered, Bw. Sanjay Rughani wakati wa sherehe za uzinduzi wa awamu ya
pili ya mashindano ya Kombe la Standard Chartered 2017, barabara ya
kuelekea Anfield uliofanyika katika viwanja vya Jakaya Mrisho Kikwete
Youth Park jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Mgeni rasmi
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo nchini (BMT) Bw. Dionis Malinzi (wa
pili kulia) na Mkuu wa idara ya Fedha wa Benki ya Standard Chartered,
Abdulrahman Said.
Mkutano
na waandishi wa habari ukiendelea wakati wa sherehe za uzinduzi wa
awamu ya pili ya mashindano ya Kombe la Standard Chartered 2017,
barabara ya kuelekea Anfield uliofanyika katika viwanja vya Jakaya
Mrisho Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam.
Mchambuzi
mkongwe wa kandanda nchini, Dr. Leaky Abdallah (kulia) ambaye pia ni
mshabiki mkubwa wa Liverpool akitoa uchambuzi wa timu hiyo barabara ya
kuelekea Anfield wakati wa sherehe za uzinduzi wa awamu ya pili ya
mashindano ya Kombe la Standard Chartered 2017, uliofanyika katika
viwanja vya Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam.
Mtendaji
Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Sanjay Rughani (katikati)
akimkabidhi zawadi mgeni rasmi Mwenyekiti wa Baraza la Michezo nchini
(BMT) Bw. Dionis Malinzi (wa pili kulia) huku wengine wakishuhudia tukio
hilo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
(TFF), Mwesiga Celestine, Mkuu wa idara ya Fedha wa Benki ya Standard
Chartered, Abdulrahman Said (kushoto) na Mchambuzi mkongwe wa kandanda
nchini, Dr. Leaky Abdallah (kulia) ambaye pia ni mshabiki mkubwa wa
Liverpool (wa pili kushoto).
Mtendaji
Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Sanjay Rughani
(katikati)akimkabidhi zawadi Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania (TFF), Mwesiga Celestine (kulia) kwenye sherehe za uzinduzi wa
awamu ya pili ya mashindano ya Kombe la Standard Chartered 2017,
barabara ya kuelekea Anfield uliofanyika katika viwanja vya Jakaya
Mrisho Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam.
Mtendaji
Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Sanjay Rughani (wa tano kulia)
akimkabidhi zawadi Mchambuzi mkongwe wa kandanda nchini, Dr. Leaky
Abdallah (wa tatu kushoto) ambaye pia ni mshabiki mkubwa wa Liverpool
katika sherehe za uzinduzi huo. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mahusiano wa
Benki ya Standard Chartered, Juanita Mramba.
Mtendaji
Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Sanjay Rughani (kushoto)
akibadilishana mawazo na Mchambuzi mkongwe wa kandanda nchini, Dr. Leaky
Abdallah ambaye pia ni mshabiki mkubwa wa Liverpool kabla ya kuanza kwa
mechi ya ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Standard Chartered 2017,
uliofanyika katika viwanja vya Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park jijini
Dar es Salaam.
Mgeni
rasmi Mwenyekiti wa Baraza la Michezo nchini (BMT) Bw. Dionis Malinzi
katika picha ya pamoja na timu A na B na waamuzi wa mechi hiyo ya
ufunguzi wa wa awamu ya pili ya mashindano ya Kombe la Standard
Chartered 2017, barabara ya kuelekea Anfield uliofanyika katika viwanja
vya Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam.
Mgeni
rasmi Mwenyekiti wa Baraza la Michezo nchini (BMT) Bw. Dionis Malinzi
akisalimiana na vikosi vya timu A na B kabla ya kuanza kwa mechi hiyo ya
ufunguzi wa wa awamu ya pili ya mashindano ya Kombe la Standard
Chartered 2017, barabara ya kuelekea Anfield uliofanyika katika viwanja
vya Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam.
Mgeni
rasmi Mwenyekiti wa Baraza la Michezo nchini (BMT) Bw. Dionis Malinzi
akibutua mpira kuashiria uzinduzi rasmi wa awamu ya pili ya mashindano
ya Kombe la Standard Chartered 2017, barabara ya kuelekea Anfield
uliofanyika katika viwanja vya Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park jijini
Dar es Salaam.
Kapteni
wa timu A Majuto Omary wa gazeti la Mwananchi akiwatoka wachezaji wa
timu B ikiongozwa na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Bw.
Sanjay Rughani wakati wa mechi ya ufunguzi wa awamu ya pili ya
mashindano ya Kombe la Standard Chartered 2017, barabara ya kuelekea
Anfield uliofanyika katika viwanja vya Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park
jijini Dar es Salaam.
Mpiga
picha wa Azam TV akimtoka Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered,
Bw. Sanjay Rughani wakati wa mechi ya ufunguzi wa awamu ya pili ya
mashindano ya Kombe la Standard Chartered 2017, barabara ya kuelekea
Anfield uliofanyika katika viwanja vya Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park
jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesiga akikabidhi
zawadi kwa wachezaji wa timu A baada ya kuichapa bao 1-0 timu B kwenye
sherehe za uzinduzi rasmi wa awamu ya pili ya mashindano ya Kombe la
Standard Chartered 2017, barabara ya kuelekea Anfield uliofanyika katika
viwanja vya Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam.
Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Michezo nchini (BMT) Bw. Dionis Malinzi
Kapteni
wa timu A Majuto Omary kutoka gazeti la Mwananchi akifurahia zawadi
yake baada ya timu yake kuibuka kidedea dhidi ya timu B kwa bao 1-0
wakati wa mechi ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mashindano ya Kombe la
Standard Chartered 2017, barabara ya kuelekea Anfield uliofanyika katika
viwanja vya Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam.
Picha
ya pamoja timu A iliyoibuka kidedea dhidi ya timu B kwa bao 1-0 kwenye
sherehe za uzinduzi rasmi wa awamu ya pili ya mashindano ya Kombe la
Standard Chartered 2017, barabara ya kuelekea Anfield uliofanyika katika
viwanja vya Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam.
Geofrey Adroph
BLOGGER
P.O.BOX 24793,
Mob: +255 755 274953 /+255 713 363965,
Email: pamojapure@gmail.com.
Blog: http://www.pamoja.co.tz/
DAR ES SALAAM, TANZANIA
BLOGGER
P.O.BOX 24793,
Mob: +255 755 274953 /+255 713 363965,
Email: pamojapure@gmail.com.
Blog: http://www.pamoja.co.tz/
DAR ES SALAAM, TANZANIA
0 maoni:
Chapisha Maoni