Alhamisi, 9 Februari 2017

MAHAFALI YA CHUO KIKUU CHA AGA KHAN YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Posted by Esta Malibiche on FEB 10,2017

IBUUUU
 Naibu Gavana wa Benki Kuu nchini Tanzania, Lila Mkila akizungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Aga Khan wakati wa mahafali yaliofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Philemon Solomon-Fullshangweblog
……………….
SQ
SQ 1
 Wahitimu wa chuo kikuu cha Aga Khan wakiwa wamekaa kwautulivu wakimsikiliza Naibu Gavana wa Benki Kuu nchini Tanzania, Lila Mkila katika mahafali ya chuo hicho.
SQ 2
 Naibu Gavana wa Benki Kuu nchini Tanzania, Lila Mkila (wa nne kushoto) pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa. 
SQ 3
SQ 4
 Rais wa Chuo Kikuu cha Aga Khan Firoz Rasul akikabidhi vyeti kwa baadhi ya  wahitimu wa chuo hicho. 
SQ 5
SQ 6
 Wazazi pamoja na wageni waalikwa wakiwa katika mahafali hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Aga Khan jijini Dar es Salaam. 
SQ 7
 Naibu Gavana wa Benki Kuu nchini Tanzania, Lila Mkila (kulia), na Rais wa Chuo Kikuu cha Aga Khan Firoz Rasul (kushoto) ,wahitimu wa Chuo kikuu cha Aga khan wakitoka katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam baada ya mahafali hayo kwisha. 
SQ 8

0 maoni:

Chapisha Maoni