Ester Malibiche
Kali ya habari
Nyumbani
View post on imgur.com
Jumamosi, 27 Januari 2018
KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU ATEMBELEA GHALA LA KUHIFADHI VIFAA VYA MAAFA DODOMA
23:13
No comments
Posted by Esta Malibiche on JAN 28,2018 IN NEWS
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Msaidizi (Mipango na Tafiti) Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Bashiru Taratibu alipotembelea Moja ya Ghala la kuhifadhi Vifaa vya Maafa lililopo Dodoma Januari 26, 2018.
Mkurugenzi Msaidizi (Mipango na Tafiti) Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Bashiru Taratibu akitoa maelezo kuhusu ghala la kuhifadhi vifaa vya maafa kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora alipotembelea kuangalia hali ya ghala hilo.
Afisa Ugavi Hospitali ya Mkoa wa Dodoma Bw. James Mashaka akionesha moja ya kifaa cha kuhifadhi maji wakati wa maafa
(Collapse can jelly)
kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora alipotembelea Ghala la kuhifadhi vifaa vya Maafa.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora akifuatilia maelezo ya ghala la kuhifadhia vifaa vya maafa kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi (Mipango na Tafiti) Idara ya Uratibu wa Maafa Bw. Bashiru Taratibu alipotembelea kukagua hali ya ghala hilo.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora akifuatilia baadhi ya taarifa zinazohusu ghala la kuhifadhi vifaa vya maafa lililopo Dodoma.
Muonekano wa moja ya Ghala la kuhifadhi Vifaa vinavyotumika wakati wa Maafa lililopo Dodoma.
Tuma Hii kwa Barua pepe
Blogu Hii!
Chapisha kwenye X
Shiriki kwenye Facebook
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
0 maoni:
Chapisha Maoni
Music
Popular
Tags
Blog Archives
JAFO AAGIZA UJENZI WA MADARASA SHULE YA MSINGI MWANDEGE
Posted by Esta Malibiche ON Februari 6,2018 IN NEWS Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo akizungumza na walim...
MADIWANI WA MANISPAA YA MOSHI WATEMBELEA OFISI ZA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA).
Posted by Esta Malibiche on JAN 18,2017 IN NEWS Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira m...
MKUU WA MKOA WA IRINGA AMINA MASENZA AWAPONGEZA RDO KWA KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI MUFINDI NA KILOLO
Posted by Esta Malibiche on March 28,2018 IN NEWS Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Nan...
WANANCHI KITONGA WAANDAMANA KUPINGA UFUNGWAJI WA HOTELIHOTEL YA STARCOM
WANANCHI wa kijiji cha Mahenge wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wailalamikia Halmashauri ya wilaya ya Kilolo kwa kuifunga hoteli ya Sta...
(kichwa hakijaongezwa)
mbunge wa Singida Kaskazin Bw Lazaro Nyalandu (kulia) akimpokea waziri wa Kilimo ,Mifugo na uvuvi Bw Mwigulu Nchemba alipofanya...
ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI LA IRINGA AWATAKA WAAMINI KULIOMBEA TAIFA
Posted by Esta Malibiche on April 1,2018 IN NEWS Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania na Askofu wa Jimbo la Iringa Mhashamu Baba...
FAHAMU FAIDA ZA KULA MATUNDA KWA UBORA WA AFYA YAKO
Postedy by Esta Malibiche on August 2016 Kuna faida nyingi za kula matunda licha ya kupenda ladha tamu za matunda tunayokula...
BRITAM YAADHIMISHA MIAKA 50 YA KUTOA BIMA
Posted by Esta Malibiche on Aiugust 7.2016 in KITAIFA...
ZIFAHAMU FAIDA ZA KULA BAMIA
Postedy by Esta Malibiche on August 17.2016 Chimbuko la Bamia ni Abyssinia (Ethiopia) Kisha ikaenea Duniani kote. 1. Michirizi na ...
WANAFUNZI WAMETAKIWA KUJIEPUSHA NA MAMBO YANAYOWEZA KUKATIZA NDOTO ZAO
Posted by Esta Malibiche On Oct 23,2017 In NEWS Mkuu wa Shule ya Sekondari Lyang'a inayomilikiwa na kanisa katoliki parokia ya Mtakat...
Blog Archive
▼
2018
(277)
►
Agosti
(1)
►
Julai
(11)
►
Juni
(36)
►
Mei
(30)
►
Aprili
(62)
►
Machi
(45)
►
Februari
(59)
▼
Januari
(33)
ROTARY CLUB OF IRINGA YAPANDA MITI 134 YA MATUNDA ...
MADIWANI MAFINGA WATAKA UCHUNGUZI MANUNUZI HEWA SE...
MBUNGE KABATI ATOA MSAADA WA MIFUKO 25 YA SARUJI K...
MTULIA AZIDI KUITEKA KINONDONI ,SERA ZAKE ZAWA GUMZO
KIKAO CHA BARAZA KUU LA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA...
CCM YAZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE K...
KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU ATEMBELEA GHALA L...
CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KINONDONI CHAANDIKA HISTOR...
WAZIRI WA TAMISEMI SELEMAN JAFO AWATEMBELEA WAATHI...
WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WATAKIWA KUSIMAMIA FEDH...
1 of 1,377 ZIARA YA NAIBU WAZIRI MASAUNI KUKAGUA M...
RAIS MSTAAFU KIKWETE AFURAHIA SOMO LA MKIKITA KUHU...
DKT. MWANJELWA AISHUKURU CHINA KWA KUONYESHA NIA Y...
NAIBU WAZIRI MAVUNDE NA DC NDEJEMBI WAZINDUA KAMPE...
RIDHIWANI KIKWETE:MIGOGORO YA ARDHI NI MOJA YA CHA...
JAFO,POLEPOLE WAUNGURUMA KAMPENI ZA UBUNGE SIHA
JAFO AKERWA NA UTENDAJI MBOVU ROMBO
KHERI JAMES ATOA AGIZO KWA HALMASHAURI MKOANI IRI...
MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA KHERI JAMES AWAFUNDA WASOMI
KHERI JAMES :SIASA ZA MAJUNGU ZINACHELEWESHA NA KU...
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO...
CCM DAR YAVUNA WANACHAMA WAPYA 200 LEO HII
MNEC WA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM YUSUPH NASSORO A...
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI KUPITIA CHAMA CH...
Posted by Esta Malibiche on JAN 20,2017 IN NEWS ...
MKUU WA WILAYA YA MBULU CHELESTINO MOFUGA AIPONGE...
MINAKI NA PUGU WAJIPANGA KWA MATOKEO MAZURI YA KID...
CHADEMA JIMBONI KWA PETER MSIGWA YASAMBARATIKA DI...
JAFO AKEMEA UTATU USIO MTAKATIFU KATIKA MANUNUZI Y...
MBUNGE WA CHALINZE MH. RIDHIWANI KIKWETE AONGOZA M...
MKUU WA MKOA WA LINDI GODFREY ZAMBI AZINDUA KAMPEN...
VILIO NA SIMANZI VYATAWALA CHADEMA IRINGA MJINI MA...
WANANCHI WA KATA YA KIWANGWA JIMBO LA CHALINZE KUN...
►
2017
(602)
►
Desemba
(52)
►
Novemba
(59)
►
Oktoba
(59)
►
Septemba
(30)
►
Agosti
(43)
►
Julai
(29)
►
Juni
(80)
►
Mei
(15)
►
Aprili
(36)
►
Machi
(38)
►
Februari
(45)
►
Januari
(116)
►
2016
(2522)
►
Desemba
(64)
►
Novemba
(185)
►
Oktoba
(207)
►
Septemba
(239)
►
Agosti
(303)
►
Julai
(313)
►
Juni
(358)
►
Mei
(262)
►
Aprili
(508)
►
Machi
(83)
0 maoni:
Chapisha Maoni