Jumamosi, 27 Januari 2018

CCM YAZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE KINONDONI KWA KISHINDO

Posted by Esta Malibiche on JAN 28,2018 IN SIASA

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba (kushoto), akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia wakati wa uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo kwenye viwanja vya Biafra, Dar es Salaam Jumamosi. 
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

 Wafuasi wa CCM wakishangilia wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo.

 TOT wakitumbuiza wakati wa mkutano huo


 Ni furaha meza kuu
 Bendi ya Vijana Jazz ikitumbuiza

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,, Stephen Wassira AKISALIMIANA NAMtulia





 Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kimara Chadema,  akirudisha kadi ya chama hicho na kujiunga na CCM
 Waliokuwa upinzani wakijiunga na CCM
Mtulia akiitambulisha familia yake
leo. 
Mgeni rasmi wa Uzinduzi wa kampeni za chama cha CCM, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba akizungumza mbele ya umati wa watu waliofika kuhudhuria uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo kwenye viwanja vya Biafra, jijini Dar es Salaam leo. 
Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia akizungumza mambo mbalimbali mbele ya Wanachama wa chama hicho na Wananchi kwa ujumla mara baada kutambulishwa na kuitwa jukwaani kumwaga sera zake za kuomba kura wakati wa uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo kwenye viwanja vya Biafra, Dar es Salaam leo.
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kimara Chadema, Ngudu Pascal Manota akiwasalimia wananchi wa Kinondoni jioni ya leo alipokuwa akitambulishwa kwao na kurudisha kadi ya chama hicho na kujiunga na CCM,pichani kati ni Mgeni rasmi wa Uzinduzi wa kampeni za chama cha CCM, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba na kulia kwake ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,Stephen Wasira

Wananchi na wafuasi wa chama cha CCM wakishangilia wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo,katika viwanja vya Biafra Kinondoni jana jioni 

0 maoni:

Chapisha Maoni