Ijumaa, 19 Januari 2018

Posted by Esta Malibiche on  JAN 20,2017 IN NEWS





 MKU wa Mooa wa Iringa,Amina Masenza ameitaka Kamishna Msaidizi wa Madini Mbeya kuhakikisha anatatua Mgogoro wa uchimbaji madini katika eneo la Nyakavangala lililopo Manispaa ya Iringa,Mkoani hapa.

Agizo hilo amelitoa ofisini kwake wakati akiookea Ripoti ndogo ya  ukaguzi wa mashimo ya uchimbaji madini ka iliyowasilishwa na Kamimu Kamishna wa Madini Mkoa wa Mbeya Eng. Ramadhani Lwamo.

Akizungumza,Mkuu wa Mkoa alisema kuwa Sheria ya uchimbaji wa madini inatakiwa kulinda  haki za wachimbaji na wananchi,hivyo aliitaka kamati hiyo ihakikishe inatatua haraka migogoro ya Mipaka iliyopo baina ya Mchimbaji Thomas na  Kuboma
.
""Pamoja na ukaguzi huu nilioupokea,tunataka mrudi tena mkaangalie swala la mipaka  na kulitatua ili kusiwe na migogoro   ya mipaka ambayo inaweza kuleta uvunjifu wa Amani katika maeneo ya Machimbo hivyo kuwaletea athari wananchi wanaozunguka eno hilo"Alisema Masenza na kusisitiza kuwa

" Moja ya kazi niliyowaagiza leo hii n ni kuhakikisha mipaka   ya wachimbaji inaonyeshwa,na hii nataka ripoti iweze kunifikia hapa ofisini kwang.HKikisheni Nyakavangala mivutano iliyopo ya mipaka baina ya wachimbaji inamalizika."Alisema MaSenza.

Pia alisem kuaa wachimbaji waliopewa Leseni wanatakiwa kufuata taratibu za uchimbaji wa madini n atakaekiuka atafungiwa.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Iringa,Richard Kasesela aisema busara zinatakiwa zitumike  katika utoaji wa Leseni,na kuongeza kuwa Lesni zisitolewe  kwa wachimbaji  bil kufika katika eneo husika na kukagua.

Aidha Kasesela aliiishauri kamati ya madini kuwaita wachimbaji na kuwapa Elimu jinsi ya kusimamia  na kuwapantaratibu na kanuni zinazotakiwa kufuata.

Kasesela aliishauri kamati hiyo kuwa kabla haijatoa Leseni ya Uchimbaji ofisi ya Mkoa husika na Wilaya wanapaswa kujua ili iweze kufuatilia .

 Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza akizungumza    katika kikao cha kupokea ripoti ya Mashimo iliyowasilishwa na kamati ya Madini.
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akifafanua jambo katika ki
Kaimu Kamishna Msaidi wa Madini Mkoa wa ambeya Ramadhani Lwamo  akizung





















0 maoni:

Chapisha Maoni