Jumapili, 21 Januari 2018

CCM DAR YAVUNA WANACHAMA WAPYA 200 LEO HII

Posted by Esta Malibiche on JAN 21,2017  IN SIASA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dar es salaam MaMa Kate Kamba akimkabidhi kadi  ya ccm mwanachama  mpya aliyejiunga leo katika tawi la National Housing lililopo wilaya ya Ubungo.
CHAMA cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dar es salam kimepata wanachama wapya 200, ambao wamejiunga leo hii   katika tawi la National Housing lililopo wilaya ya Ubungo.

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dar se  salaam Mama Kate Kamba amewaapisha na kuwakabidhi kadi  za ccm wanachama wapaya200 huku  akiwataka kutoa ushirikiano .

Viongozi mbalimbali  wa chama wameshirikia akiwemo Mnec wa Dar es  salaam Yusuph Nassoro  pamoja na    katibu wa siasa na Uenezi Mkoa wa Dar es  salaam  Saimon Mwakifamba.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dar es salaam Mama Kate Kamba akizungumza  katika tukio la kuwapokea wanachama wapya 200 ,ambao wamejiunga leo hii  ccm katika  tawi la National Housing lililopo wilaya ya Ubungo.
Mnec  wa Dar es salaam Yusuph Nassoro akizungumza  katika tukio la kuwapokea wanachama wapya 200 ,ambao wamejiunga leo hii  ccm katika  tawi la National Housing lililopo wilaya ya Ubungo.

Katibu wa  Itikadi na Uenezi Mkoa wa Dar es  salaam  Saimon Mwakifambaakizungumza  katika tukio la kuwapokea wanachama wapya 200 ,ambao wamejiunga leo hii  ccm katika  tawi la National Housing lililopo wilaya ya Ubungo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dar es salaam MaMa Kate Kamba akimkabidhi kadi  ya ccm mwanachama  mpya aliyejiunga leo katika tawi la National Housing lililopo wilaya ya Ubungo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dar es salaam MaMa Kate Kamba akimkabidhi kadi  ya ccm mwanachama  mpya aliyejiunga leo katika tawi la National Housing lililopo wilaya ya Ubungo.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dar es salaam MaMa Kate Kamba akimkabidhi kadi  ya ccm mwanachama  mpya aliyejiunga leo katika tawi la National Housing lililopo wilaya ya Ubungo.
Mnec  wa Dar es salaam  Yusuph Nassoro   akipeana mkono na mwanachama Mpya aliyejiunga na chama cha Mapinduzi ccma leo hii   katika tawi la National Housing lililopo wilaya ya Ubungo.

Wanachama wapya 200waliojiunga na chama cha Mapinduzi ccm leo hii katika tawi la National Housing lililopo wilaya ya Ubungo wakila kiapo.

0 maoni:

Chapisha Maoni