Jumamosi, 20 Januari 2018

MNEC WA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM YUSUPH NASSORO AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA KATA YA MSASANI LEO

Posted by Esta Malibiche on JAN 20,2018 IN SIASA

Mnec wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Yusuph Nassoro ,akiwa  na mwenyekiti wa ccm kata ya msasani  Nyerere mnyupe pamoja na Katibu mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam Saimon Mwakifamba wakiwa katika ufunguzi wa semina ya viongozi kata ya Msasani.
Semina hiyo imefunguliwa rasmi leo na  Mnec wa Mkoa wa Dar es salaam Yusuph Nassoro.

Mwenyekiti wa ccm kata ya msasani  Nyerere mnyupe akizungumza mapema leo hii na viongozi wa kata ya Msasani kwenye semina  ilifunguliwa na Mnec wa ccm Mkoa wa Dar es salaam Yusuph Nassoro.

Katibu mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam Saimon Mwakifamba akizungumza mapema leo hii na viongozi wa kata ya Msasani kwenye semina  ilifunguliwa na Mnec wa ccm Mkoa wa Dar es salaam Yusuph Nassoro













0 maoni:

Chapisha Maoni