Jumatatu, 22 Januari 2018

KHERI JAMES :SIASA ZA MAJUNGU ZINACHELEWESHA NA KUKWAMISHA MAENDELEO

Posted by Esta Malibiche on JAN,22,2018 IN SIASA

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya  umoja wa vijana ccm Taifa,Kheri Jemsi akisalimia na Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa, Chrisopher Mgala mara baada ya kuwasili Mkoani Iringa mapema leo Asubuhi na kupokelewa na viongozi wa jumuiya ya vijana uvccm na viongozi wa chama cha Mapinduzi.
 Mwenyekiti wa umoja wa Vijana CCM Taifa Kheri Jemsi akivalishwa skafu  mara baada ya kuwasili katika ofisi za Chama cha Mapinduzi CCM mmoa wa Iringa mapema leo hii.
 Mwenyekiti wa umoja wa Vijana CCM Taifa Kheri Jemsi akivalishwa skafu  mara baada ya kuwasili katika ofisi za Chama cha Mapinduzi CCM mmoa wa Iringa mapema leo hii.
 Mwenyekiti wa umoja wa vijana ccm Taifa,Kheri Jemsi akisalimia na Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa, Chrisopher Mgala mara baada ya kuwasili Mkoani Iringa mapema leo Asubuhi na kupokelewa na viongozi wa jumuiya ya vijana uvccm na viongozi wa chama cha Mapinduzi.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ccm Wilaya ya Iringa Mjini Said Rubeya akisalimiana na Mwenyekiti wa umoja wa vijana ccm Taifa Kheri  James mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa.

Mweyekiti wa  umoja wa wanawake UWT.Mkoa wa Iringa Corina Lulandala  akisalimiana na Mwenyekiti wa umoja wa Vijana ccm Taifa Kheri  James mara baada ya kuwasili katika ofisi za Chama cha Mapinduzi ccm,amara baada ya kuwasili mapema leo hii.

 Makamu katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Iringa,ambae pia ni Mhasibu wa chama mkoa akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM Taifa Kheri JMss
 Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania  Mkoa wa Iringa, akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM Taifa Kheri James
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana ccm UVCCM Salvatory Ngerera akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana Taifa Kheri James mara baada ya kuwasili katika ofisi za Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa leo Asubuhi.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana ccm Kilolo  akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana Taifa Kheri Jamssmara baada ya kuwasili katika ofisi za Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa leo Asubuhi.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana  Wilaya  Iringa Vijijini Makala Mapesa akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana Taifa Kheri  James mara baada ya kuwasili katika ofisi za Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa leo Asubuhi.
 Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana ccm UVCCM  Wilaya ya Mufindi akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana Taifa Kheri  Jamesmara baada ya kuwasili katika ofisi za Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa leo Asubuhi.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya  umoja wa vijana ccm Taifa,Kheri  Jamesakisalimia na akisamiana na viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa, mara baada ya kuwasili Mkoani Iringa mapema leo Asubuhi na kupokelewa na viongozi wa jumuiya ya vijana uvccm na viongozi wa chama cha Mapinduzi.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya  umoja wa vijana ccm Taifa,Kheri  Jamesakisalimia na akisamiana na viongozi  wa jumuiya ya Uvccm na Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa, mara baada ya kuwasili Mkoani Iringa mapema leo Asubuhi na kupokelewa na viongozi wa jumuiya ya vijana uvccm na viongozi wa chama cha Mapinduzi.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya  umoja wa vijana ccm Taifa,Kheri  James akisalimia na akisamiana na viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa, mara baada ya kuwasili Mkoani Iringa mapema leo Asubuhi na kupokelewa na viongozi wa jumuiya ya vijana uvccm na viongozi wa chama cha Mapinduzi.

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya  umoja wa vijana ccm Taifa,Kheri  James akisalimia na akisamiana na makada wa  jumuiya ya vijana na  Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa, mara baada ya kuwasili Mkoani Iringa mapema leo Asubuhi na kupokelewa na viongozi wa jumuiya ya vijana uvccm na viongozi wa chama cha Mapinduzi.

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya  umoja wa vijana ccm Taifa,Kheri  Jamesakisalimia na akisamiana na  jumuiya ya vijana na  Chama cha Mapinduzi  Idara ya Vyuo na Vyuo Vikukuu Mkoa wa Iringa, mara baada ya kuwasili Mkoani Iringa mapema leo Asubuhi na kupokelewa na viongozi wa jumuiya ya vijana uvccm na viongozi wa chama cha Mapinduzi.


 Mwenyekiti wa Jumuiya ya  umoja wa vijana ccm Taifa,Kheri  Jamesakisalimia na akisamiana na  jumuiya ya vijana na  Chama cha Mapinduzi  Idara ya Vyuo na Vyuo Vikukuu Mkoa wa Iringa, mara baada ya kuwasili Mkoani Iringa mapema leo Asubuhi na kupokelewa na viongozi wa jumuiya ya vijana uvccm na viongozi wa chama cha Mapinduzi.

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya  umoja wa vijana ccm Taifa,Kheri  Jamesakisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Uvccm Mkoa wa Iringa mara baada ya kuwasili Mkoani Iringa mapema leo Asubuhi na kupokelewa na viongozi wa jumuiya ya vijana ccm na viongozi wa chama cha Mapinduzi.

Katibu wa  Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa Christopher Magala akizungumza  katika ofisi za Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM Mkoa wa Iringa.



Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa  Vijana CCM Mkoa wa Iringa,Jemsi Mgego akisoma Taarifa ya  kazi ya  za Umoja wa Vijana wa CCM  Mkoa  wa Iringa, kwa Mwenyekiti  wa  umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi Taifa.


Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa  Vijana CCM Mkoa wa Iringa,Jemsi Mgego akisoma Taarifa ya  kazi ya  za Umoja wa Vijana wa CCM  Mkoa  wa Iringa, kwa Mwenyekiti  wa  umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi Taifa
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vija wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa,Kenani Kihongosi akizungumza mapema leo hii mara baada ya Mwenyekiti wa Uvccm Taifa Kheri Jemsi kuwasili katika Ofisi za Jumuiya hiyo mapema leo hii.


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM  Taifa, Kheri  James akizungumza na viongozi wa jumuiya hiyo.
Akiwa katika ofisi za Uvccm  Mkoa wa Iringa, alisema siasa za majungu zinachelewesha  na kukwamisha Maendeleo,viongozi  tuchape kazi kwa bidii huku tukiwaunganisha vijana na si kuwasambaratisha.














































































0 maoni:

Chapisha Maoni