Alhamisi, 22 Machi 2018

KATIBU MKUU UWT TAIFA AMINA MAKILAGI AWAONGOZA WANANCHI WA IDUMUKA KUPANDA MITI 300 KATIKA SHAMBA LA UWT IRINGA VIJIJINI.

Posted by Esta Malibiche on March 22,2018 in SIASA

 Katbu Mkuu wa UWT Taifa BI.Amina  Makilagi akipanda mti jana  katika shamba la Uwt Wilaya ya Iringa Vijijini,lililopo katika kijiji cha  Idumuka kata ya Ifunda.Mkoani Iringa, Katika tukio hilo jumla ya miti 300 ilipandwa.

 Katbu Mkuu wa UWT Taifa BI.Amina  Makilagi akisaini kitabu cha wageni katika kijiji cha idumuka  wilaya ya Iringa Vijiji mara baada ya kuwasili kijijini hapo.
Mwenyekiti wa UWT Iringa Vijijini akisaini kitabu cha wageni katika kijiji cha idumuka mara baada ya kuwasili kijijini hapo.
Katibu Mku wa jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania UWT, Bi.Amina Makilagi akizungumza na wananachi wqa kijiji cha Idumuka kilichopo kata ya Idumnda Halmashauri ya Iringa Vijijini.

Wanachi wa Kijiji cha Idumuka walioshiriki zoezi la upandaji miti lililoongozwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake UWT Taifa,Bi.Amina Makilagi.

0 maoni:

Chapisha Maoni