Alhamisi, 3 Agosti 2017

TANZANIA YAPAISHWA DENMARK KWA KAHAWA BORA

Posted by Esta Malibiche on August 4,2017 in BIASHARA

 MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA @JerryLatino AMEKUJA NA BIDHAA YAKE YA KAHAWA AMBAYO IMEANZA KUFANYA VIZURI KIDUNIA.
GAZETI LA @TheRise LA NCHINI DENMARK LIMEITAJA KAHAWA HII KUWA MOJA YA BIDHAA NZURI AMBAYO HAIJAPITIA KWENYE VIWANDA NA KUCHANGANYWA NAKEMIKALI.NA PIA GAZETI HILO LILIANDIKA
Most of African their Not Consumes What They Produce. 

0 maoni:

Chapisha Maoni