Jumanne, 8 Agosti 2017

HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO YASHIKA NAFASI YA TATU MAONESHO YA NANE NANE 2017 NYANDA ZA JUU KUSINI

Posted by Esta Malibiche on AUGUST 8,2017 In NEWS
Mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Abdalah,Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilolo Aloyce Kwezi wakiwa katika picha ya Pamoja na baadhi ya wakuu wa Idara wa Halmashauri hiyo mara bada ya kupokea Kombe la ushindi katika maonesho ya nane nane 2017,ambapo wilaya ya kilolo imeshika nafasi ya tatu.











0 maoni:

Chapisha Maoni