Jumatatu, 14 Agosti 2017

MATUKIO KATIKA PICHA ADHIMISHO LA IBADA YA MISA TAKATIFU YA UZINDUZI WA KILELE CHA JUBILEI YA MIAKA 100 YA UPADRE TANZANIA BARA

Posted by Esta Malibiche On August 14,2017

Wahashamu maaskofu na mapadre kutoka majimbo mbalimbali ya kanisa katoliki wakiwa kwenye mandamano kuelekea kanisa kuu la mtakatifu Paulo wa Msalaba jimbo kuu katoliki la Dodoma tayari kwa adhimisho la Ibada ya Misa takatifu ya uzinduzi wa kilele cha jubilei ya miaka 100 ya upadre Tanzania bara iliyofanyika leo hii.

Maandamano yakiaelekea katika kanisa kuu la Mt.jimbo kuu katoliki la Dodoma.

Kwaya ya Mtakatifu Paulo wa Msalaba wàkiwa kwenye maandamano kuelekea kanisa kuu la mtafitifu Paulo wa Msalaba tayari ya Adhimisho la Ibada ya misa takatifu ya uzinduzi kilelee cha jubilei ya miaka 100  ya upadre Tanzania bara.

Walei kutoka majimbo mbalimbali Tanzania wakiwa katika maandamano kuelekea kanisa kuu tayari kwa ibada ya misa takatifu.

Mapdre kutoka majimbo mbalimbali Tanzania bara wakiwa kwenye maandamano kuelekea kanisa kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba tayari ya Adhimisho la Ibada ya Misa Takatifu.

Wahasham mababa askofu kutoka majimbo ya Tanzania bara wakiwa katika maandamano kuelekea kanisa kuu la mtatifu Paulo wa msalaba jimbo kuu katoliki la Dodoma tayari kwa adhimisho la Ibada ya Misa Takatifu.

Askofu wa jimbo katoliki la Kigom,Mhashamu Joseph Mlola akitoa baraka katika adhimisho la Ibada ya misa takatifu kilele cha Jubilei ya Miaka 100 ya upadre Tanzania bara iliyofanyika jimbo kuu katoliki la Dodoma.

Kwaya ya mtakatifu Paulo wa Msalaba jimbo kuula Dodoma wakiongoza Adhimisho la Ibada ya misa takatifu.Kinanda kimepigwa na Paulo Mwaluko,akishirikiana na Achileusi kasasa
Mhashamu baba Askofu wa jimbo la Kigoma,Joseph Mlola akitoa homilia katika Adhimisho la Ibada ya Misa takatifu uzinduzi wa jubilei ya miaka 100 ya upadre Tanzania bara.

0 maoni:

Chapisha Maoni