Jumanne, 15 Agosti 2017

RIDHIWANI KIKWETE AHIMIZA MAZINGIRA BORA YA UWEKEZAJI

Posted by Esta Malibiche on August 15,2017 IN NEWS


r1
Mh Ridhiwani Kikwete Mbunge wa jimbo la Chalinze anasema Maendeleo ya Viwanda na uwekezaji yanategemea sana Mazingira Bora yaliyowekwa na Njia sahihi zisizo na mikwamo. Nimeyaona haya katika Ziara ya Taasisi ya Kibunge inayopambana na Magonjwa ya Milipuko na Malaria katika Kiwanda Cha Vyandarua Cha A To Z-Arusha. Mazingira ya Uwekezaji  Tanzania Ya Viwanda  ni muhimu zaidi.
r2
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha Vyandarua cha A to Z cha Arusha.
r3
Ridhiwani Kikwete na wabunge wenzake.

0 maoni:

Chapisha Maoni