Posted by Esta Malibiche on August 24,2017 IN NEWS
Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi Mkoani Katavi waliopewa uraia hapa Nchini Tanzania. |
WAZIRI wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba ametishia kuwafuta uraia watanzia wapya wa katumba mkoani katavi ambao walikuwa wakimbizi kwa muda mrefu waliotokea nchini burundi wakati wa vita ya kikabila miaka 1972.
Amesema hayo akiwa ziarani mkoa wa katavi kutembelea kambi ya katumba ambayo wamepewa uraia wa Tanzania na kupitia kambi zingine kuangalia usajili unaendeleaje.
Mwigulu alichukizwa na tabia ya baadhi ya wananchi waliopata uraia kubaguana kitaifa na kikanda ambapo inafikia mahali hawanunui bidhaa kutoka kwa mwingine ambaye si wa kutoka ukanda wake.
Alisema kuwa hatamvumilia mtun yeyote atakaediliki kuleta mambo ya ubaguzi katika jamii,na hatosita kumfutia uraia alioupata kwani Watanzania hawana mambo ya kibaguzi.
Wananchi zaidi ya 7000 kati ya laki mbili bado hawajachukua hati zao za uraia mpaka sasa lakini teyari zimekaamilika mda mrefu.
|
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba akiwa katika kambi ya katumba mkoani katavi. |
|
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba akisalimiana na wananchi waliopewa uraia hapa Nchini katika kambi ya Katumba mkoani Katavi. |
|
wananchi Mkoani Katavi wakimsikiliza waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba. |
|
Wananchi Mkoani Katavi wakimsikiliza waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba. |
|
Waziri wa Mambo ya ndani Mwigulu Nchemba,akipokea taarifa katika kambi ya Katumba na kukagua zoezi la uandikishaji wa Raia wapya ambao wanawekwa katika mfumo ambao utasaidia kuwatambua kwa haraka. Raia hawa wapya waliingia nchini miaka 1972 na wengine walizaliwa wakiwa katika kambi hizi. walikimbia vita iliyotokea Burundi |

Waziri wa Mambo ya ndani Mwigulu Nchemba,akipokea taarifa katika kambi ya Katumva na kukagua zoezi la uandikishaji wa Raia wapya ambao wanawekwa katika mfumo ambao utasaidia kuwatambua kwa haraka. Raia hawa wapya waliingia nchini miaka 1972 na wengine walizaliwa wakiwa katika kambi hizi. walikimbia vita iliyotokea Burundi
|
Waziri wa Mambo ya ndani Mwigulu Nchemba,akipokea taarifa katika kambi ya Katumba na kukagua zoezi la uandikishaji wa Raia wapya ambao wanawekwa katika mfumo ambao utasaidia kuwatambua kwa haraka. Raia hawa wapya waliingia nchini miaka 1972 na wengine walizaliwa wakiwa katika kambi hizi. walikimbia vita iliyotokea Burundi |
Waziri wa Mambo ya ndani Mwigulu Nchemba,akipokea taarifa katika kambi ya Katumba nab kukagua zoezi la uandikishaji wa Raia wapya ambao wanawekwa katika mfumo ambao utasaidia kuwatambua kwa haraka. Raia hawa wapya waliingia nchini miaka 1972 na wengine walizaliwa wakiwa katika kambi hizi. walikimbia vita iliyotokea Burundi
0 maoni:
Chapisha Maoni