Jumanne, 15 Agosti 2017

KILELE CHA MIAKA 100 YA UPADRI TANZANIA BARA KUTOKA JIMBO KUU KATOLIKI DODOMA

Posted by Esta Malibiche on August 15,2017 IN NEWS

Wahashamu maaskofu, Mapadre,Watawa na walei kutoka majimbo mbalimbali ya kanisa katoliki Tanzania na nje ya Tanzania wakiwa katika maanadamano kuelekea katika viwanja vya BWANGA Jimbo kuu la DODOMA tayari kwa kuanza adhimisho la Ibada ya misa takatifu ya Kilele cha jubilei ya miaka 100 ya upadri Tanzania bara,iliyofanyika leo katika Jimbo kuu la Dodoma.



















0 maoni:

Chapisha Maoni