Jumatatu, 7 Agosti 2017

DIWANI WA KATA YA MSASANI BENJAMINI SITA ATOA ZAWDI KWA WASHINDI WA DIWANI CUP

Posted by Esta Malibiche on August 7,2017 in MICHEZO

Diwani wa kata ya Msasani kupitia chama cha Mapinduzi ccm Benjamin Sita,ambae pia ni Meya wa Halmashauri ya Kinondoni jijini Dar,akikabidhi zawadi kwa washindi wa mashindano ya Diwani Cup,yaliyofanyika mapema leo hii.
Diwani wa kata ya Msasani ambae ni Mstahiki Meya wa Halimashauri ya kinondoni Benjamini Sita,jana ameshiriki katika Bonanza lililoambatana na utowaji wa zawadi kwa washindi wa Diwani Cup 2017 kata ya msasani..mashindano ambayo zawadi zake zimeghalimu takribani milioni sita.Msasani Mpya 2015-2020





0 maoni:

Chapisha Maoni