Balozi wa Baba Mtakatifu nchini Tanzania Askofu Mkuu Marek Solczyński akiwa na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Askofu Mkuu Beatus Kinyaiya katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma katika uzinduzi wa Kilele cha Miaka 100 ya Upadri Tanzania Bara.
0 maoni:
Chapisha Maoni