Jumatano, 23 Agosti 2017

RIDHIWANI KIKWETE:TANZANIA YA VIWANDA CHALINZE YA VIWANDA

Posted by Esta Malibiche on August 24,2017 IN NEWS

Mbunge wa jimbo la Chalinze Mkoani Pwani kupitia chama cha Mapinduzi CCM Ridhiwani Kikwete akizungumza   katika kikao cha Kurasimisha Ardhi kwa wawekezaji wa kiwanda cha uzaliahaji wa Mabetri, kilichofanyika jana katika kijiji cha Msoga Halmashauri ya wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani.

Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Makazi Willium Lukuvi akizungumza katika kikao cha urasimishaji wa Ardhi kwa wawekezaji wa kiwanda cha uzalishaji wa Mabetri kilivhofanyika jana katika kijiji cha Msoga Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani.

Mbunge wa jimbo cha Chalinze Mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete akiteta jambo na waziri wa Ardhi,Nyumba na Makazi Willium Lukuvi katika kikao cha urasimishaji Ardhi kwa wawekezaji wa kiwanda cha uzalishaji Mabetri kilichopo katika kijiji cha Msoga Mkoani Pwani.

Kikao kikiendelea



0 maoni:

Chapisha Maoni