Jumatatu, 10 Julai 2017

WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA AWASILI MKOANi LINDI LEO KUANZA ZIARA YA SIKU TANO.

Posted by Esta Malibiche on JuLY 10,2017  in NEWS



Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Ccm Mkoa wa Lindi Mzee Mtopa wakati alipowasili Wilayani Nachingwea Mkoani Lindi, katika ziara ya kikazi ya siku tano,(katikati) ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfey Zamb., Jul0(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Chapisha Maoni