Posted by Esta Malibiche on JULY 30,2017 IN MICHEZO
![]() |
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani,Ridhiwani Kikwete akizungumza na Vyombo vya habari uwanjani wakati timu ya Stim TOsha ikicheza na Keko Furniture. |
Katika Mechi hiyo Keko wameshinda kwa penati 4-2 baada ya kutoka Sare ya magoli 1-1 katika muda wa kawaida.

0 maoni:
Chapisha Maoni