Alhamisi, 27 Julai 2017

MATUKIO KATIKA PICHA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MONYESHO YA UTALII KARIBU KUSINI

  Posted by Esta Malibiche on JULY 27,2017 
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza akizungumza na wadau wa Utalii mikoa ya nyanda za juu kusini kwenye kikao cha maandalizi ya maonyesho ya utali KARIBU KUSINI,kilichojumuisha mikoa ya Iringa,Njombe,Mbeya,Ruvuma,Songwe na Katavi.

Mkuu wa wilaya Tanganyika Mkoani Katavi Salehe Mhando akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi,kwenye kikao cha maandalizi ya Maonyesho ya utalii KARIBU KUSINI kinachoendelea hii leo mkoani Iringa.










0 maoni:

Chapisha Maoni