Jumatatu, 24 Julai 2017

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA KIGWA ASUBUHI HII

Posted by Esta Malibiche on JULY 25,2017 in KITAIFA

 Rais Magufuli aendelea na ziara yake. Leo tarehe 25 Julai, 2017 Asubuhi hii amezungumza na wananchi wa Kijiji cha Kigwa Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora.
Amewahakikishia kuwa Serikali itawaletea maji kutoka mradi wa maji kutoka ziwa Victoria.



0 maoni:

Chapisha Maoni