Alhamisi, 13 Julai 2017

RIDHIWANI KIKWETE ASHIRIKI KIKAO CHA MAENDELEO YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WILAYANI CHALINZE

Posted by Esta Malibiche on JUNE 13,2017 IN SIASA

Mbunge wa jimbo la Chalinze Mkoani Pwani,Ridhiwani Kikwete akisalimiana na viongozi m mbalimbali wa Ccm mara baada ya kuwasili katika viwanja vya ofisi ya chama hicho tayari kwa kushiriki kikao.
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Mapinduzi Ccm Ridhiwani Kikwete leo ameshiriki kikao cha Maendeleo cha Chama Cha Mapinduzi, katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze.
AKizungumza Mapema leo hii katika kikao hicho aliwashukuru  Wajumbe na viongozi  kwa ujumla na kusema kuwa Ngome Imara ya Maendeleo katika Halmashauri ya Chalinze  ni CCM. 
#hapakazitu #magufulinikazitu #chalinzenikazitu
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mkoani Pwani,Ridhiwani Kikwete akisalimiana na viongozi m mbalimbali wa Ccm mara baada ya kuwasili katika viwanja vya ofisi ya chama hicho tayari kwa kushiriki kikao.
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mkoani Pwani,Ridhiwani Kikwete akisalimiana na viongozi m mbalimbali wa Ccm mara baada ya kuwasili katika viwanja vya ofisi ya chama hicho tayari kwa kushiriki kikao.
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mkoani Pwani,Ridhiwani Kikwete akisalimiana na viongozi m mbalimbali wa Ccm mara baada ya kuwasili katika viwanja vya ofisi ya chama hicho tayari kwa kushiriki kikao.
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mkoani Pwani,Ridhiwani Kikwete akisalimiana na viongozi m mbalimbali wa Ccm mara baada ya kuwasili katika viwanja vya ofisi ya chama hicho tayari kwa kushiriki kikao.
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mkoani Pwani,Ridhiwani Kikwete akisalimiana na viongozi m mbalimbali wa Ccm mara baada ya kuwasili katika viwanja vya ofisi ya chama hicho tayari kwa kushiriki kikao.
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mkoani Pwani,Ridhiwani Kikwete akisalimiana na viongozi m mbalimbali wa Ccm mara baada ya kuwasili katika viwanja vya ofisi ya chama hicho tayari kwa kushiriki kiko.
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mkoani Pwani,Ridhiwani Kikwete akisalimiana na viongozi m mbalimbali wa Ccm mara baada ya kuwasili katika viwanja vya ofisi ya chama hicho tayari kwa kushiriki kikao.

0 maoni:

Chapisha Maoni