Ijumaa, 28 Julai 2017

DC MBULU ALITAKA JESHI LA POLISI KUFANYA KAZI KWA BIDII

Posted by Esta Malibiche on JULY 28,2017 IN NEWS

Mkuu wa wilaya ya Mbulu Chelestino Mofuga akizungumza na jeshi la Polisi mapema leo hii wialayani Mbulu.

 Mkuu Wa wilaya ya Mbulu chelestino s mofuga Leo 28/7/2017 amefanya mkutano na jeshi LA polisi ukiwa na lengo la kuwataka kufanya kazi kwa weledi kuwahudumia wananchi na serikali kwa ujumla ili kupunguza malalamiko yasiyo ya msingi kwao.
.Amekemea vikali askari kuacha ulevi, kupokea rushwa na kupindisha kesi jambo linaloumiza wanyonge.
 Mkuu WA polisi wilaya nae amemwaahidi mkuu Huyo  kusimamia weledi katika jeshi la polisi.
Pia amesikiliza kero za jeshi LA polisi hususani malimbikizo ya madeni ya kulinda mitihani ya mwaka 2016, na mengineyo . mkuu Wa wilaya ameagiza kuletewa jumatatu 31/7/2017 madeni yote ya polisi  ili aweze kuchukua hatua kwa wahusika.



0 maoni:

Chapisha Maoni