Jumanne, 12 Juni 2018

WAZIRI WA TAMISEMI SELEMAN JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI NCHINI KUKAMILISHA MAJENGO YA KUPOKEA KIDATO CHA TANO.

Posted by Esta Malibiche on JUNE 12,2018 IN NEWS

Ukaguzi wa nyumba za watumishi ukiendelea katika sekondari ya sokoine memorial

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo akikagua ujenzi unaoendelea katika Shule ya Sokoine Memorial wilayani Mvomero
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo akisisitiza jambo kwa viongozi na watendaji wa mkoa wa Morogoro na wilaya ya Mvomero wakati wa ukaguzi wa sekondari ya sokoine memorial
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo  akiongea na wananchi katika kituo cha afya Chazi wilayani Mvomero
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo  akiwa katika picha ya pamoja na wataalam wa afya wa Hopitali Teule ya Bwagala iliyopo Turiani wilayani Mvomero

0 maoni:

Chapisha Maoni