Jumamosi, 9 Juni 2018

MATUKIO KATIKA PICHA;ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA IRINGA WALBERT CHALAMILA WILAYA YA IRINGA MJINI

Posted by Esta Malibiche on JUNE 9,2018 IN NEWS
Mwenyekiti wa Chama cha  Mapinduzi ccm Mkoa wa Iringa  Albert Chalamila  akimkabidhi Mpira Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Iringa Mjini Said Rubeya.Jumla ya mipira 75 imetolewa na Mjumbe wa Halamshauri kuu ccm Taifa ambae pia ni Mnec wa Mkoa wa Iringa,Salim Asas.Kulia kwake ni  Mjumbe wa Halmashauri kuu ccm Taifa viti 15 Teresia Mtewele,akifuatia Mjumbe wa Halmashauri kuu ccm Taifa na Mnec wa Mkoa wa Iringa Salim Asas,kushoto kwake ni katibu wa CCM wilaya ya Iringa mjini Marco Mbaga.PICHA NA ESTA MALIBICHE


Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa Albert Chalamila akivalishwa Skafu na vijana wa kitengo cha ulinzi cha Chama,wakati alipowasili katika ofisi za  ccm wilaya ya Iringa Mkoani Iringa akiendelea na ziara yake ya siku 4 akizungumza na wajumbe wa Halmashauri kuu ccm Wilaya ya Iringa Mjini
 Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Iringa Mjini,akimkaribisha Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Iringa Albert Chalamila mara baada ya kuwasili leo Asubuhi .
 Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Iringa Albert Chalamila akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofisi za ccm Iringa mjini.
Kikao cha ndani kikiendelea
 Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Iringa Albert Chalamila akizungumza na wajumbe wa Halmashauri kuu ccm Wilaya ya Iringa Mjini.Chalamila liwasuhi wajumbe kuhakikisha wanawajibika katika maeneo yao.




 Mjumbe wa Halmashauri kuu ccm Taifa viti 15 Tanzania Bara  Bi.Teresia Mtewele akizungumza na  wajumbe wa Halamshauri kuu ccm Taifa wilaya ya Iringa Mjini.Aliwataka wajumbe mikakati ya kuhakikisha uchaguzi wa Serikali ya Mitaa 2019 na uchaguzi mkuu 2020 ccm iweze kushinda kwa kishindo katika ubunge na madiwani.
Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Taifa ambae pia ni Mnec wa CCM Mkoa wa Iringa Salim Abri Asas akizungumza na wajumbe alisema kuwa ccm ilikosa ubunge katika jimbo la Iringa mjini na baadhi ya kata katika uchaguzi mkuu 2015 kutokana na ujanja ujanja wa baadhi wa wanaccm ambaop siyo waaminifu na waadilifu.


  Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Taifa ambae pia ni Mnec wa CCM Mkoa wa Iringa Salim Abri Asas akizungumza na wajumbe alisema kuwa ccm ilikosa ubunge katika jimbo la Iringa mjini na baadhi ya kata katika uchaguzi mkuu 2015 kutokana na ujanja ujanja wa baadhi wa wanaccm ambaop siyo waaminifu na waadilifu.


Katibu wa chama cha mapinduzi ccm Mkoa wa Iringa Christopher Magala akizungumza na wajumbe wa Halamashauri kuu ccm Wilaya ya Iringa Mjini,alisema kuwa chama wilayani hapoa aliwataka viongozi kuhakikisha wapangaji wote wanalipa kodi kwa kupitia account ya  makusanyo ya wilaya ili kuzoiba  mianya  na ubadhirifu wa fedha na mali ya chama.


Makamu katibu wa CCM Mkoa wa Iringa Agnes Kasela akiwasalimia wajumbe wa Halmashauri kuu ccm Wilaya ya Iringa mjini.


Mwenyekiti wa ccm wilaya ya Iringa mjini Said Rubeya akiwasalimia  wajumbe wa Halamashauri kuu ccm Wilaya ya Iringa


Mwenyekiti wa jumuiya ya umoja wa wanawake Mkoa wa Iringa UWT akiwasalimia wajumbe
Katibu wa Jumuiya ya wanawake Mkoa wa Iringa UWT Chiku Masanja akiwasalimia wajumbe.


Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Iringa Kenani Kihongosi akiwasalimia wajumbe.

 
Katibu wa Jumuiya ya wazazi Mkoa  wa Iringa akisalimia wajumbe


Wajumbe wa Halamashauri kuu ccm wilaya ya Iringa wakiwa kwenye kikao






.















Mjumbe wa Halamshauri kuu ccm Taifa ,ambae pia ni mnec wa Mkoa wa Iringa akizunfgumza mara baada ya kukabidhi vifaa vya michezo














nzbxgs alisema jakauandbdhdbkutabavdgxnnakaishd











.

0 maoni:

Chapisha Maoni