Jumanne, 4 Aprili 2017

MBUNGE WA JIMBO LA SONGEA MJINI LEONARD GAMA AKABIDHI MILL.8.2 KWA VIKUNDI 26 VYA UJASILIAMLI JIMBONI KWAKE.

Posted by Esta Malibiche on APRIL 4,2017 IN NEWS

MBUNGE wa Jimbo la Songea mjini  Leonidas Gama ametoa wa jumla ya sh.milioni 18.2 ,fedha za mfuko wa Jimbo kuvikopesha vikundi 26 vya ujasirimali ambapo kila kikundi kimepewa sh.700,000.Ugawaji wa stakabadhi (cheque) hizo umefanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea 
 
Na Albano Midelo Songea

0 maoni:

Chapisha Maoni