Jumanne, 4 Aprili 2017

OLD BOMA:NGOME YA WAJERUMANI ILIYOGEUKA KIVUTIO MTWARA

Posted by Esta Malibiche on APRIL 4,2017


HAPA ni mji Mkongwe Mikindani  Mtwara  na hili ni   jengo kongwe  la Old Boma  lililokuwa makao makuu ya serikali ya wajerumani kanda ya kusini.Old Boma lilijengwa na wajerumani mwaka 1895.Ujenzi wa jengo hili lenye ghorofa iliyojengwa bila nondo na kwa kutumia mawe matupu  yaliokuwa yanaokotwa baharini  ulianza rasmi mwaka1890.OldBoma hivi sasa ni miongoni mwa vivutio adimu katika Mkoa wa Mtwara.
Na Albano Midelo

0 maoni:

Chapisha Maoni