Jumapili, 16 Aprili 2017

RAIS WA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA AKEMEA VITENDO VYA UBAKAJI NA ULAWITI

 Posted by Esta Malibiche on APRIL 16,2017 in NEWS


 Mhashamu baba askofu wa jimbo katoliki laIringa Tarcisius Ngalalekumtwa ambae pia ni Rais wa Baraza la Maaskofu katoliki Tanzania akiongoza ibada ya misa takatifu,katika adhimisho la sikukuu ya pasaka iliyofanyika leo hii katika kanisa la la Moyo mtakatifu wa Yesu Parokia ya Kihesa jimbo katoliki la Iringa.Katika Homilia yake aliyoitoa leo hii amelaani na kukemea vitendo vya ubakaji na ulawiti,hivyo amewataka watanzania kuliombea Taifa ili vitendo hivyo visiweze kuendelea kutokea nchini.Picha na Esta Malibiche.




 Kwaya iliyoongoza ibada ya misa takatifu katika adhimisho hilo ni kwaya kuu ya Mtakatifu Cecilia parokia ya kihesa jimbo katoliki la Iringa.




0 maoni:

Chapisha Maoni