Jumatatu, 10 Aprili 2017

DC KILOLO AFANYA ZIARA YA KWANZA HIFADHI YA TAIFA UDZUNGWA ASHAURI WAWEKEZAJI KUWEKEZA UPANDE WA KILOLO

Posted by Esta Malibiche on APRIL 10,2017

Mkuu wa Wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa Asia Abdalah akijiandaa kuanza ziara ya kuhamasisha utalii wilaya ya Kilolo kwenye hifadhi ya Udzungwa
  
maporomoko ya mji ya Sanje Udzungwa ambayo ni kivutio kikubwa 
Mwanahabari Augustino Kihombo akipanda mlima Udzungwa
 Zoezi la kupanda Mlima Udzungwa
Mwongoza wageni Hifadhi ya Taifa ya Udzungwa akimsaidia mkuu wa Wilaya Kilolo Asia Abdalah kupanda mlima 
Mkuu wa Wilaya Kilolo Asia Abdalah akizungunza watalii toka nje ya Tanzanian waliotembelea hifadhi ya Udzungwa
Mkuu wa wilaya akimbusu mtoto aliyepanda mlima Udzungwa na wazazi wake 
Hapa wakitazama majani ambayo ni dawa ya kutibu jino na tumbo

Mzee wa matukiodaima mwenye bendera ya Taifa akiwa na wadau pamoja na DC kilolo
Barabara ya Kilombero ni changamoto kwa utalii Udzungwa 
DC Kilolo akila nyama ya dafu
Mzee wa matukiodaima akiwa na mmoja kati ya watalii wa nje 

0 maoni:

Chapisha Maoni