Jumanne, 11 Aprili 2017

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU AZINDUA KIKOSI KAZI CHA KITAIFA CHA BONDE LA MTO RUAHA MKUU, MKOANI IRINGA LEO

Posted by Esta Malibiche on APRIL 11,2017 IN NEWS

Mkurugenzi  mkuu  wa TANAPA  Dkt Allan  Kijazi  akichangia  mada  kuhusu  uhifadhi wa  mto  Ruaha mkuu
Makamu  wa Rais  Samia Suluhu  Hassan  kulia  akiteta  jambo na  mkuu  wa  mkoa wa Iringa Amina Masenza na  waziri wa ardhi ,nyumba na maendeleo ya makazi leo
Mkuu  wa wilaya ya  Iringa  Richard Kasesela  akichangia  mada  juu ya  uhifadhi wa mto  Ruaha mkuu
washiriki  wa mkutano  huo  wakitoa maoni yao
Mbunge  wa  Mary Mwanjelwa  akichangia katika mkutano  huo
Waziri  wea Mazingira na muungano January Makamba akipokea  maelekezo toka kwa makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo
Aliyekuwa  mkuu wa mkoa wa Mbeya Abas Kandoro  akichangia jinsi ya  kulinda mto Ruaha mkuu
Waziri  wa Maliasili na utalii Dkt Jumanne Maghembe akifafanua jinsi ya  kuungana kulinda  maji kwa  faida ya wananchi na  wananya

0 maoni:

Chapisha Maoni