Jumatano, 2 Mei 2018

RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA UALIMU CHA MKWAWA MJINI IRINGA

Posted by Esta Malibiche on MAY 3,2018 IN NEWS

k1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akipata maelezo juu ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo leo Mei 2, 2018
k2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akifunua pazia kuashiria uiwekaji wa jiwe la msingi la  ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018
k4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Juma Abdallah  alipowasili kuweka jiwe la  la msingi la  ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018
k7
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akitambukushwa kwa wabunge wa mkoa wa Iringa na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo katika sherehe za uwekaji wa   jiwe la  la msingi la  ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018 
k8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na  Mbunge wa Kilolo Mhe. Venance Mwamoto na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo katika sherehe za uwekaji wa   jiwe la  la msingi la  ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018 
k9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi pamojanna wanafunzi  katika sherehe za uwekaji wa   jiwe la  la msingi la  ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018 
k10
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Ipogolo alipokuwa anatoka   katika sherehe za uwekaji wa   jiwe la  la msingi la  ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo Mei 2, 2018 
k11
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa  mkoani Iringa alipotembelea leo Mei 2, 2018 
k12
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zwadi kutoa kwa Rasi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa  mkoani Iringa alipotembelea leo Mei 2, 2018. Kulia ni Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo, Profesa Bonaventure Rutinwa
k 13
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia  wanafunzi na wahadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa  mkoani Iringa alipotembelea leo Mei 2, 2018 
k14
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya  wanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa  mkoani Iringa alipotembelea leo Mei 2, 2018 
k15 k15a
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua ujenzi wa ukumbi wa  Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu cha Mkwawa  mkoani Iringa alipotembelea leo Mei 2, 2018 
 
Picha na IKULU

0 maoni:

Chapisha Maoni