Jumatatu, 14 Mei 2018

DC NACHINGWEA AWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KUUPOKEA MWENGE WA UHURU

Posted by Esta Malibiche on MEI 14,2018 IN NEWS

 Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi Mhe Rukia Muwango, akikagua  miradi ya maendekeo ikiwa ni Maandalizi ya kuupokea   Mwenge wa uhuru 2018,ambao utatembelea miradi hiyo.
 Akizungumza na Mtandao huu wa Habari mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya kukagua miradi hiyo alisema "tumedhamiria Kufanya vizuri zaidi ya mwaka Jana tuliposhika nafasi ya kwanza kimkoa, ya pili kikanda kati ya wilaya 36 na ya tano kitaifa. It can be done.... Let's play our part" . 🇹🇿🇹🇿










0 maoni:

Chapisha Maoni